Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, vyombo vya habari vya Lebanon vimeripoti dakika chache zilizopita kifo cha “Abdulkarim Nasrallah,” baba mzazi wa shahidi Sayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa zamani wa Hizbullah Lebanon.
Hawza/ Baba yake shahidi Sayyid Hassan Nasrallah amefariki dunia.
Maoni yako